mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,527
- 10,538
Hesabia na pilipili jumla 7.
Wewe glass ya maziwa huoni?
basi maziwa nayo mboga!
Wewe glass ya maziwa huoni?
basi maziwa nayo mboga!
Kama hutojali nielekeze namna unavyo waandaa hasa kwenye coatingZamani sana kuna unga fulani nlikua nanunua supermarket huku zenji. Upo spiced tayari. Yaani huo ulikuwa bomba sana. Wanakuwa very crispy.
Ila sasa siuoni tena hata madukani. Naishia kutumia bread crumbs ya kawaida tu hata siwapatii sana.
Boiled potatoes bile kupeel zimenikumbusha mbali 😌Lazy day, mambo vurugu vurugu ila hatujaacha kupika. Tulenu basi....View attachment 1933390
Yaani hizo viazi ndio zenyewe hizo! 😋Boiled potatoes bile kupeel zimenikumbusha mbali 😌
Salad😋
Na hapo kwenye bakuli jingine kungekuwa na pork chops 🤓😍
Hicho safi sema ukitoka hapo mnahamia Kabul inakua ni kabum kudum kadaa mpk kunakucha
nibakshie
![]()
Sitaki uchokozi.Tumia unga wa Sembe!!![]()
Diet ushawacha?
Diet ushawacha?