☺☺I like the chocolate colour.
Najua ningekula vizuri,ila sasa kumbe si kula tu,,bali na kujifunza kupikaKwa hiyo huji sababu ulihofia utashinda njaa?
![]()

Asante mkuuUbarikiwr Sana Saint Anne Kwa kutambua majukumu ya wife material. Unafaa Sana kwa matumizi!


Tunda tamu kweli kweli
Siku hizi mods wanachapa kazi kwelikweli😀 mzee wa chura siku hizi ban zimemuandama balaa.Mod alichafukwa..tulikuwa wengi.. Tulijaribu kumchezea sharubu..akatukazia![]()
![]()
Afu nami nilipika jana jioni, ngoja niweka kapicha.
Sugar ray ulikuwa unaenda KUFANYA nn![]()
Unauliza makofi polisi