Uzi wa nidhamu na mabadiliko chanya

Uzi wa nidhamu na mabadiliko chanya

Nimeamua kuacha kutumia skanka rasmi
Ni ngumu sana kuacha labda useme unapumzika, kuna bibi namfahamu anazipiga kinoma hajaacha mpaka leo kila ikifika jioni anaenda kuzifuata anarudi nyumbani kwake akitulia sebleni ni kuvuta tu mwanzo mwisho, nimesema ni bibi sasa usiniulize enzi za usichana wake ilikuaje
 
Ni ngumu sana kuacha labda useme unapumzika, kuna bibi namfahamu anazipiga kinoma hajaacha mpaka leo kila ikifika jioni anaenda kuzifuata anarudi nyumbani kwake akitulia sebleni ni kuvuta tu mwanzo mwisho, nimesema ni bibi sasa usiniulize enzi za usichana wake ilikuaje
Nitakuja na mrejesho wa ukweli kila mwezi
 
Hivi makebo maana yake nini? Hili neno nakutana nalo mara kadhaa humu
Nyamanyama nyingi kwenye maeneo ya makalio yaliyotunatuna na yanayobonyezeka km kigodoro laini au unga wa ngano uliokandwa vizuri baada ya kutiwa hamira sio magumu km tofali za zege, na hayo ndio Makebo nadhani na wewe utakua unayo pasinashaka au huna?
 
For real asee
Nimeamka leo nawaza hiyo kitu nikajisemea the way sipendi kuamuliwa mambo,how comes hiyo kitu inaniamulia na kuingilia mwili wangu?
Nimeamua kuacha,naamini nitaweza

#wedorecover āœ‹
Kila la kheri Mkuu, Maisha bila kutumia hizo mambo ni mazuri mno, mfano bora tu hatukuzaliwa tunatumia na tulikua tunafurahia maisha jinsi yalivyokua.

Ila huku kwenye kuvuta starehe mwanzoni tu ila muda unavyozidi kwenda inageuka kitu cha lazima kwamba upate ndo ujifeel good, upate furaha akili ikae sawa 😔 hapo rasmi unakua ushaharibu mfumo wako uliozaliwa nao kama wanadamu wote kawaida...

Kumbuka tena umechagua muda mzuri sana kuanza clean time yako Kengele ya 06:00Pm ujue una 12hrs clean na kengele ya 06:00am una 24hrs siku umeua siku moja na safari iendelee hivyo hivyo utaenjoy sana nakutakia safari njema.
 
Back
Top Bottom