Uzi wa kupeana machimbo mbalimbali ya vifaa vya ujenzi na bei zake

Me tiles nauza aina zote..
Za box na reject
Kwa mfano..40*40 za box nauza 26500, 40*40 za reject ambzo ziko nje ya box nauza 22000
FB_IMG_16813534041530226.jpg

FB_IMG_16813534671369051.jpg

Hizo unazo?
if yes unauzaje?
FB_IMG_16813534511754495.jpg
 
Halafu sikuhizi mafundi wengi wanashauri kutumia wall puty badala ya whitecement inaokoa gharama
Hii hata mimi nimetumia hv karibuni maana nilikariri white cement.

Wallput unatumia maji kuchanganyia wakati white cement mfuko mmoja unahitaji karibu lita 30 za rangi ya maji kuchanganyia.

Wallput kilo 25 inacheza 22,000 wakati whitecement kg 40 sh 38,000
 
Ungeweka sababu ungeeleweka zaidi Mkuu,
Ni kweli mkuu, ila maana kuu ni kuwa makini, sababu ni nyingi sana.

Moja ya mfano ni kuamua aina fulani ya nyumba unayo taka, ifanyie utafiti kutoka kuchora ramani hadi ukamilifu wake.

Tumeshuhudia baada ya nyumba kukengwa mmiliki anakosa na mapenzi nayo kwa sababu nyingi.


Uvimo Civil Group tunatoa rai na tahadhali kwa mfano huo.

Wasiliana nasi kwa
0692 806 544
By Uvimo
 
Kimara corner na uzuri unafika pale unaangalia ukiona hakuna unazotaka unaweka oda yako, zinakuwa zimevunjika kdg sn kwenye angle kitu ambacho sio issue sn maana mafundi zile hua wanazikata maaana ata hizo mpya ni lazima ukute zimevunjika na lazima zikatwe hakuna nyumba inakosa vipande vya tiles, so kwa sisi wa kuunga unga inafaa sn
Kabisa, hata gympsum board huwa tunafanya hivyo, unanunua board nzima na rejected (zilizokatika kiasi). Hizo rejected unatumia sehemu ambazo zinahitaji vipande. Hata cement pia kuna zile ambazo wakati wa kushusha zinatoboka, nazo huwa wanauza kama rejected (unakuta wanakuuzia 10,000 badala ya 15,000)

Ukihitaji ramani au makadirio ya material ya ujenzi tuwasiliane
 
Kabisa, hata gympsum board huwa tunafanya hivyo, unanunua board nzima na rejected (zilizokatika kiasi). Hizo rejected unatumia sehemu ambazo zinahitaji vipande. Hata cement pia kuna zile ambazo wakati wa kushusha zinatoboka, nazo huwa wanauza kama rejected (unakuta wanakuuzia 10,000 badala ya 15,000)

Ukihitaji ramani au makadirio ya material ya ujenzi tuwasiliane
Cement rejected zinapatikana wapi Mkuu?
 
Lengo la huu uzi ni kusaidiana watu wapate bidhaa za ujenzi kwa bei rafiki, sasa wewe hutaji hata ni bati gani na ziko wapi watu watafaidikaje?
Brand ya bati ni sunbank wanauza bati za rangi za aina zote wacheki 0685572320 Kwa maelezo zaidi
 
Back
Top Bottom