Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Manifestation

Senior Member
Jan 22, 2020
193
315
1584867872107.png


Watu wengi wapo tayari kuanzia maisha na wenza wao Ila kuna mmoja bado anasuasua; ili kuwezesha kukutana Kwa watu ambao wapo tayari kuvutana muanze maisha muendele Kula mema ya nchi pamoja Kwa kuishi pamoja, kwani kuishi peke yako Kwa vijana kuna changamoto nyingi na wengi wetu hatupendi Ila wenza wetu hawapo tayari Kwa sababu zisizokuwa na maana

Hapa tunatoa wasifu mfupi na wapi tunaweza kupata Mambo mengine mnamalizia pm.

Naanza mwenyewe Mimi ni mwanamme mfanyabiashara umri 26 elimu degree, naishi dar, Kwa aliyetari kuyajenga karibu Niko tayari tuanze maisha naishi peke yangu.
 
Umri: 35 yrs
Kazi: mfanyabiashara+ mtumishi
Elimu : degree + master in public health
Location : kimara (DSM)
Dini : Muslim
Sifa za mke
Umri :23-29 yrs
Kazi : awe nayo asiwe nayo ntamuweka sawa
Elimu : angalau kidato cha nne onwards
Location : popote anapotoka
Dini :yoyote ( kama mkiristo ndoa ya kiserikal itafuata mkondo)
Karibuni kwa wahitaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jina: Arqam bin Ali Al Harthi
Ethnicity: Lebanese
Uraia: Mtanzania
Pesa:Ipo
Kazi: Usafirishaji na mduka kadhaa (magari kadhaa under my family company name)
Dini:Muslim
Makazi: Upanga, Dar es Salaam
Elimu: Bachelor of Business Admin....Univ of Cyprus
Umri: 32
Marital Status: Single
Tabia: A little bit mhuni....mtoto wa mjini.
Why single: Nilitaka kuoa mwanamke wa Kibantu mama akagoma bila sababu zenye mantiq. Nikasitisha kwanza. Wakati napanga niende naye na watu wenye busara wamshauri, amefariki. So room is open. Albaabu maftooh.

Mahitaji: Mwanamke wa Kirangi, Mbulu, fyoma, Nyaturu, Chagga, or makabila ya Kaskazini the likes of Wameru et al na Wanyiramba. Awe mweupe peeee, mrefu mwili wa wastani au mwembamba.

DM



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom