AFRICAN BOYI
Senior Member
- Dec 9, 2019
- 117
- 320
KununuaNatafuta connection ya biashara ya mbao
@YoungJigger
Mwenye connection wanakopatikana kuku wa kienyeji kwa ajili ya kufuga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kununua boss
@YoungJigger
Tuyajenge hapa hapa wengine waone boss.Na kuuza pia,,, nipm tuyajenge
@YoungJigger
Ninapenda nipewe connection ya biashara ya mazao ya chakula baada ya muda muafaka nije niyauze.
Natanguliza shukrani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Natafuta connection ya biashara ya mbao
@YoungJigger
Njoo mlimba Kuna Kijiji kinaitwa idui Kuna kuku Hadi wa elfu tano.
Connection kuhusu uuzaj dagaa na samak Dodoma mweny idea tafadhar kuhusu process za usafirishaj na vibali
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo wapiMwenye connection wanakopatikana kuku wa kienyeji kwa ajili ya kufuga
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepakumbuka sana mlimba hahhaah pako njema nlikuwa huko 2015.Morogoro
Kuku hao ni saiz ya kuliwa au wadogo iyo bei.Njoo mlimba Kuna Kijiji kinaitwa idui Kuna kuku Hadi wa elfu tano.
Nina Kama wiki tatu huku Kuna fursa nyingi sana upande wa biashara ya mazao mchawi mtaji tu.Nmepakumbuka sana mlimba hahhaah pako njema nlikuwa huko 2015