Kijana Mpole
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 212
- 202
- Thread starter
- #41
Mashine ya juisi ya miwa zenye kibanda huondoki na miwa yako unaifungia hizi tunazitengeneza pia kwa million mbili na laki mbili tu
Asante sana mkuu karibu sanaHongera sana mkuu. Kazi nzuri.
Usijali mkuu tutaielezea hapa hapa fuatilia huu UziNasubiri mashine ya kuponda mawe kufikia size ya kokoto za lami. Ikielezea inapokea mawe max size gani, input/output per hour. Nikiridhika ni serious business
Nashukuru mkuu, hata hivyo mimi nimebobea kwenye gas popcorn machine onlyKaribu sana weka ndugu mashine zako tusaidie wenzetu wahitaji
Pamoja sana mkuuNashukuru mkuu, hata hivyo mimi nimebobea kwenye gas popcorn machine only
Pamoja na kubadili electrical popcorn machine to gas machine
Muda wowote nitafika hapo Riverside mkuuAsante sana mkuu karibu sana
Mkuu Hongera Sana kwa kutushirikisha Shughuli za watanzania Wenzetu wajasiriamali.. Naomba kuuliza Hizi za kusaga Bei Ni pamoja na Mota???Mashine za kusaga za kibiashara hapa unaanzia namba 50 hii ina uwezo wa kusaga kilo 500 kwa kwa saa
Tunazitengeneza kwa million mbili na laki saba ( 2.7m)
Namba 75 million tatu na laki Tisa
Na namba 100 million tano View attachment 1674791View attachment 1674792
Ndio mkuu hizi mashine tunazitengeneza kwa sasa ni kulipia na kuchukua zipo tayari stockMkuu Hongera Sana kwa kutushirikisha Shughuli za watanzania Wenzetu wajasiriamali.. Naomba kuuliza Hizi za kusaga Bei Ni pamoja na Mota???
Nashukuru, hata ikitoa chenga ni vizuri zaidi kulingana na kazi yanguUsijali mkuu tutaielezea hapa hapa fuatilia huu Uzi
Lolote zaidi call/sms/WhatsApp 0763542515