Uzi maalumu; Machine zinazotengenezwa hapa nchini

Kijana Mpole

JF-Expert Member
Nov 17, 2016
212
202
WAJASIRIAMALI hongereni kwa kuufikia mwaka 2021 mkiendelea na mapambano

kama ni miongoni unatafuta mashine au taarifa zake karibu tupo tutakusaidia Jorina store lolote zaidi call/sms/whatsapp 0763542515 Tabata na ubungo riverside Instagram Jorina store

Mashine hizi zifuatazo ndio tunazotengeneza pamoja na kuziunda

Mashine zote za kusaga na kukoboa
Mashine zote za juisi ya miwa
Mashine zote za tofali mpaka za udongo
Mashine za utotoleshaji
Mashine zote za kutengeneza barafu na lambalamba au ice cream

Mashine za kutengeneza sabuni
Mashine za kukamua na kuchuja alizeti
Mashine za kuponda kokoto hizo tunazitengeneza pia karibu upate tarifa zake

TUNAICHAMBUA KILA MASHINE PAMOJA NA GHARAMA ZAKE BILA KUSAHAU PICHA HAPA CHINI KARIBU SANA MASWALI 0763542515
Photo_1606072243664.jpeg
 
Mashine za tofali

Kuna mashine yenye kuzalisha tofali moja kwa wakati mmoja hii million mbili na laki tano tu ikiwa full na mota yake (2.5m) full
IMG-20200222-WA0001.jpeg
 
Mashine za Tofali kuanzia nne mpaka nane kwa wakati mmoja pia tunazitengeneza
Hizi kidogo ni tofauti katika mfumo wa uendeshaji zinatumia hydraulic press kwa hiyo ni rahisi sana unapoitumia

Tofali nne million kumi na tatu (13)
Na tofali nane million 28

Karibu
IMG_20201217_144557_803.jpeg
 
MASHINE ZA KUSAGA NA KUKOBOA

Mashine za kusaga hizi zinaanzia million mbili kwa mashine ndogo yenye uwezo wa kusaga kilo 250 hii inafaa kwa wanaozalisha unga wa lishe au eneo lisilo na watu wengi ukasagisha
IMG_20201219_122415_617.jpeg
 
Mashine za kusaga za kibiashara hapa unaanzia namba 50 hii ina uwezo wa kusaga kilo 500 kwa kwa saa
Tunazitengeneza kwa million mbili na laki saba ( 2.7m)

Namba 75 million tatu na laki Tisa
Na namba 100 million tano
IMG-20200630-WA0006.jpeg
tapatalk_1608187935183.jpeg
 
TUNAENDELEA NA MASHINE ZA KUKOBOA

hapa tunaanzia na rola mbili hii inakoboa kilo 500 kwa saa gharama yake million mbili na laki saba ikiwa full

Ipo rola tatu hii million tatu na laki nane
Na rola nne million nne na laki Tisa
Rola tano hii million tano na laki tano

Hizi hapa chini
IMG_20201227_211326_426.jpeg
IMG_20201220_201512_721.jpeg
IMG_20201217_144445_207.jpeg
IMG-20200607-WA0003.jpeg
IMG_20201227_211326_426.jpeg
IMG_20201019_095818.jpeg
 
nyie na SIDO tofauti ikoje kwa bei na ubora wa bidhaa
Mkuu labda nikueleweshe kitu Sido inasimamia wazalishaji au WAJASIRIAMALI yenyewe kama serikali haizalishi na imesaidia kuweka eneo moja wazalishaji lakini sio bure unapalipia kwa lugha rasmi unapanga nasi tulipanga kwa muda ila sasa hatupo hapo tupo katika eneo letu karibu sana

SIDO NI MSIMAMIZI TU
 
Back
Top Bottom