Uzi maalumu; Machine zinazotengenezwa hapa nchini

Mjomba Fujo

JF-Expert Member
Oct 27, 2012
1,127
2,000
Mapendekezo

Napendekeza muanze kufanya utafiti wa kutengeneza mashine za tofali katika mfumo wa full automatic au semi automatic.

Kusiwe na haja ya mtu ku load mchanganyiko kwenye vibrator, kusiwe na haja ya mtu kubeba tofali baada ya kukamilika kugandamizwa, hii itaongeza ufanisi wa utengenezaji wa tofali nyingi kwa muda mchache.

Naamini hamshindwi kufanya hichi kitu kwasababu ni jambo la intergration tu ndio mtakalofanya hiyo mifumo mingine yote mnaweza kutengeneza.

-hydraulic systems
-conveyors
-plc automation

Fanyeni kitu bana tujipige vifua mbele za watu.
 
Kijana Mpole

Senior Member
Nov 17, 2016
144
225

Asante sana mkuu kwa ushauri lakini mashine ya tofali nne au nane kwa pamoja hilo linafanyika maana huwezi kubeba tofali nne au nane hapo ni toroli au mashine maalumu au folks
Japo kadri unavyotoa matumizi ya watu kwenda automatic ndipo gharama inaongezeka tutafurahi ukawa mteja wetu wa kwanza kukufanyia automation block mashine in full
LINAWEZEKANA KABISA
Mashine kubwa tofali nne mpaka nane kwa wakati mmoja
IMG_20201217_144557_803.jpeg
FB_IMG_1607579040503.jpeg
 
Kijana Mpole

Senior Member
Nov 17, 2016
144
225
Vipi kuna uwezekano wa kupata mashine ya kubangua dengu mkuu.
Japo dengu zina process sana ila hilo LINAWEZEKANA mkuu hata maana kutoka China ipo manual inabangua hata kukutengenezea tutaweza karibu sana tuongee 0763542515
 
Kijana Mpole

Senior Member
Nov 17, 2016
144
225
Mkuu, Je? hizi ni mashine za tofari za kuchoma au ni tofari za cement.
Hapana mkuu hizo sio tofali za kuchoma Bali ni tofali za udongo na cement tutakufundisha namna ya kuzitengeneza ziwe katika muonekano huo karibu sana 0763542515
 
sengobad

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
3,635
2,000
Nina wateja tumewabadilishia mashine zao walikimbilia za nje zimewapiga kingine hata kwenye mashine za alizeti kilio kimetawala huko
Wanarudi tuwatengenezee za nje nyingi bei ndogo ila hazihimili mazingira yetu
Mazingira yetu kivipi, sikuelewi hapo, hizi machine zinategemea hali ya hewa? au karanga zetu ubadirika badirika? unadhani neno MAZINGIRA YETU umelitumia mahali sahihi?
 
Kijana Mpole

Senior Member
Nov 17, 2016
144
225
Mazingira yetu kivipi, sikuelewi hapo, hizi machine zinategemea hali ya hewa? au karanga zetu ubadirika badirika? unadhani neno MAZINGIRA YETU umelitumia mahali sahihi?
Kama utakuwa umeifuatilia vizuri hii dhread mkuu katika uchambuzi machine za kusaga na kukoboa kuzitofautisha za nje na za hapa hapa tumezungumzia hilo neno? Mashine za nje sio zote hasa hizo tajwa ni za light work sio kazi ngumu machine inatakiwa isage kg 100 wewe unakomaa na kg 500 haiendani na uwezo wake
Karibu ujipatie mashine

Mashine unaipigia kazi hadi mwenyewe unaionea huruma ipumzike sms/call 0763542515
 
Offshore Seamen

JF-Expert Member
Mar 9, 2018
2,502
2,000
Mkuu mnaweza mkatengeneza mashine ya kubadilishia tairi za magari (Tyre Changer).

Kuna moja niliona YouTube watu wa Thailand wametengeneza wanatumia mota moja na inafanya kazi Kwa ufanisi kuliko za kuagiza.
 
Kijana Mpole

Senior Member
Nov 17, 2016
144
225
Mkuu mnaweza mkatengeneza mashine ya kubadilishia tairi za magari (Tyre Changer).

Kuna moja niliona YouTube watu wa Thailand wametengeneza wanatumia mota moja na inafanya kazi Kwa ufanisi kuliko za kuagiza.
Inawezekana mkuu muhimu kama una video yake njoo unatengenezewa au itume WhatsApp 0763542515 tuangalie vifaa vinavyohitajika na kama upo karibu njoo workshop tuongee vizuri

Maana zingine tunaunda kutokana na wazo la mteja 0763542515
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom