Je hizi machine zinatumia umeme au diesel?Mashine za kusaga za kibiashara hapa unaanzia namba 50 hii ina uwezo wa kusaga kilo 500 kwa kwa saa
Tunazitengeneza kwa million mbili na laki saba ( 2.7m)
Namba 75 million tatu na laki Tisa
Na namba 100 million tano View attachment 1674791View attachment 1674792
Asante sana mkuu kwa ushauri lakini mashine ya tofali nne au nane kwa pamoja hilo linafanyika maana huwezi kubeba tofali nne au nane hapo ni toroli au mashine maalumu au folksMapendekezo
Napendekeza muanze kufanya utafiti wa kutengeneza mashine za tofali katika mfumo wa full automatic au semi automatic.
Kusiwe na haja ya mtu ku load mchanganyiko kwenye vibrator, kusiwe na haja ya mtu kubeba tofali baada ya kukamilika kugandamizwa, hii itaongeza ufanisi wa utengenezaji wa tofali nyingi kwa muda mchache.
Naamini hamshindwi kufanya hichi kitu kwasababu ni jambo la intergration tu ndio mtakalofanya hiyo mifumo mingine yote mnaweza kutengeneza.
-hydraulic systems
-conveyors
-plc automation
Fanyeni kitu bana tujipige vifua mbele za watu.
Ni umeme ndugu wa three phase au njia tatu kwa lugha yetu karibu sanaJe hizi machine zinatumia umeme au diesel?
Japo dengu zina process sana ila hilo LINAWEZEKANA mkuu hata maana kutoka China ipo manual inabangua hata kukutengenezea tutaweza karibu sana tuongee 0763542515Vipi kuna uwezekano wa kupata mashine ya kubangua dengu mkuu.
Hizo nitaziweka Uzi wetu wa mashine za kutoka nje mkuu ila kiufupi zipoPump za kuvuta maji vipi mkuu,ya umwagiliaji
Asante sana mkuuKazi nzuri.
Hizi hazitumii vibao ndugu karibu sanaWakuu hizo za interlocking zna vbao vyake au!?
Hapana mkuu hizo sio tofali za kuchoma Bali ni tofali za udongo na cement tutakufundisha namna ya kuzitengeneza ziwe katika muonekano huo karibu sana 0763542515Mkuu, Je? hizi ni mashine za tofari za kuchoma au ni tofari za cement.
Karibu sana tunaendelea kuziweka na maelezo mkuu
Mazingira yetu kivipi, sikuelewi hapo, hizi machine zinategemea hali ya hewa? au karanga zetu ubadirika badirika? unadhani neno MAZINGIRA YETU umelitumia mahali sahihi?Nina wateja tumewabadilishia mashine zao walikimbilia za nje zimewapiga kingine hata kwenye mashine za alizeti kilio kimetawala huko
Wanarudi tuwatengenezee za nje nyingi bei ndogo ila hazihimili mazingira yetu
Kama utakuwa umeifuatilia vizuri hii dhread mkuu katika uchambuzi machine za kusaga na kukoboa kuzitofautisha za nje na za hapa hapa tumezungumzia hilo neno? Mashine za nje sio zote hasa hizo tajwa ni za light work sio kazi ngumu machine inatakiwa isage kg 100 wewe unakomaa na kg 500 haiendani na uwezo wakeMazingira yetu kivipi, sikuelewi hapo, hizi machine zinategemea hali ya hewa? au karanga zetu ubadirika badirika? unadhani neno MAZINGIRA YETU umelitumia mahali sahihi?
Inawezekana mkuu muhimu kama una video yake njoo unatengenezewa au itume WhatsApp 0763542515 tuangalie vifaa vinavyohitajika na kama upo karibu njoo workshop tuongee vizuriMkuu mnaweza mkatengeneza mashine ya kubadilishia tairi za magari (Tyre Changer).
Kuna moja niliona YouTube watu wa Thailand wametengeneza wanatumia mota moja na inafanya kazi Kwa ufanisi kuliko za kuagiza.