Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza ( Animation ) Motion Graphic kwa kutumia Cinema 4D

IMG_20231109_172457_171.png

Unaweza Scan qr code ukaona baadhi ya Kazi zangu Instagram
 
Mkuu habar yako nataka kujifunza haya mambo sijui niwnzie wapi
Mdogo mdogo utafanikiwa.
Unatumia PC ya namna Gani?

Jitahidi kupata access ya bando la internet maana mwalimu ni YouTube.

Na kushauri tumia blender coz ni Free, alafu Hata baadhi ya Add-on zake nyingi ni Free, cinema4D fully version inabidi ulioie, Sio mbaya SEMA plugin zake nyingi ni za kununua pia.

Alafu tutorial za blender ni nyingi kuliko za cinema4D Kwa upande wa textures and colors, lighting, rendering, scurplituring, VFX, motion graphics, modeling
 
Back
Top Bottom