Uzi maalumu kwajili ya kujifunza kucheza casino mtandaoni

Erick MR

Member
Nov 11, 2022
77
152
Kutokana na uhitaji wawatu wengi kufahamu kuhusu casino za mtandaoni nimeona hatuna uzi maalumu wakujifunza na kujadiliana mbinu za michezo hiyo .kwamaana Uzi uliopo humu ni wakubeti mpira tu hivyo nimeanzisha uzi huu utakua maalumu kwa casino pekee

Sheria za Uzi huu.

1. Hakuna kutuma link yoyote ya mchezo zaidi ya maelekezo na namna ya kuupata
2. Hakuna kutuma mawasiliano binafsi au kuchukua namba za watu kuanzisha group jingine nje ya ukurasa huu
3. Unaweza kutuma picha na maelekezo
4. Unaweza kuuliza swali lolote au kuchangia kutokana na maelekezo yaliyopita
5. Kabla hujatuma maelekezo hakikisha unafahamu mchezo husika vizuri.
6. Wote tupo humu kwa lengo la kujifunza hivyo heshimu mawazo ya mtu mwingine .
7.Ukikiuka vigezo na masharti vya Uzi huu tutakuwajibisha kwa mods.
 
Huu mchezo siku hizi hautoi pesa nyingi kama miaka ya nyuma… users wengiii na kula hadi usiku sana Inachosha.. waambie uko na kilevi na unaweza maliza pesa
Mchezo wowote wa casino una tahadhari unatakiwa kucheza kistaarabu boss pia Kuna bahati kunabaadhi ya michezo nitakua na share kama nikipata ushindi mkubwa na nikosa pia nitashare muhimu ni kujifunza nakucheza kistaarabu
 
Ndio nakuambua kuwala this days ni kwa manati hadi users wanalalamika,
Nimeshawapiga hao vya kutosha through crazy time, lighting roulette na sweet bonanza.
 
Naona wazee wa kampuni za kubet mmeanzisha uzi wa kutulaghai na betting zenu... pumbaf...
kulaghai kupo wapi hamna mtu ameombwa hela humu wala namba kama una mchezo wa kasino unajua kucheza upo kampuni yoyote tupe maujuzi wengine wanao hitaji wajifunze sharti usiweke link wala usiombe namba ya mtu humu nimeshatoa masharti ya uzi huu juu kabisa
 
Kutokana na uhitaji wawatu wengi kufahamu kuhusu casino za mtandaoni nimeona hatuna uzi maalumu wakujifunza na kujadiliana mbinu za michezo hiyo .kwamaana Uzi uliopo humu ni wakubeti mpira tu hivyo nimeanzisha uzi huu utakua maalumu kwa casino pekee

Sheria za Uzi huu.

1. Hakuna kutuma link yoyote ya mchezo zaidi ya maelekezo na namna ya kuupata
2. Hakuna kutuma mawasiliano binafsi au kuchukua namba za watu kuanzisha group jingine nje ya ukurasa huu
3. Unaweza kutuma picha na maelekezo
4. Unaweza kuuliza swali lolote au kuchangia kutokana na maelekezo yaliyopita
5. Kabla hujatuma maelekezo hakikisha unafahamu mchezo husika vizuri.
6. Wote tupo humu kwa lengo la kujifunza hivyo heshimu mawazo ya mtu mwingine .
7.Ukikiuka vigezo na masharti vya Uzi huu tutakuwajibisha kwa mods.
Ni mchezo upi wa casino ambao ni mzuri kuliko mwingine, na unapatikana kwenye kampuni ipi?
 
AVIATOR ni mchezo wa casino ya mtandaoni ambapo mchezaji huweka stake na kukadiria muda ambao ndege yake itakaa angani na kucashout kuchukua mpunga wake. Kadiri Unavyokaa muda mrefu Mkwanja wako unaongezeka. mchezo huu unapatikana katika kampuni tofauti za kubashiri kama vile galsport ,winprincess , wasafibet, Meridian, parimatch na Premier bet

Maelekezo ya kucheza :-

1.Fungua akaunti yako kwenye tovuti yenye mchezo huu
2. Weka salio kwenye account yako
3. Chagua aviator casino kisha stake kiasi upendacho
4. Chukua ushindi wako kwa kucash out kadiri unavyoacha mda mrefu ndio mkwanja unazidi kupanda lakini pia unakuwa katika hatari yakupoteza zaidi.ZINGATIAMzunguko unapoanza, scale au grafu ya vizidishi inaanza kupanda na unatakiwa ku cash out kabla ya ndege ya bahati haijapaa mawinguni! Kadri unavyozidi kusubiri ndivyo ushindi unavyozidi kuongezeka , kama mchezaji moja mwenye bahati ambae aliweka bashiri kwa 1,580 TSH tu na akashinda 197,556,866 TSH255753145001
download%20(3).jpg
 
JINSI YA KUCHEZA ZAIDI YA MICHEZO 160 YA LUCKY NUMBERS KUTOKA SEHEMU MBALIMBALI.

DROO HUCHEZWA KILA DAKIKA.

Mchezo wa lucky numbers unapatikana sportpesa nimuunganiko wa michezo 160 yenye masoko zaidi ya 14 ambayo unaweza kuchagua namba uzipendazo kwenye Kila raundi ya droo husika . Kumbuka kuwa hizi ni droo zinazochezwa sehemu mbalimbali duniani na matokeo yake sio ya siri.

JINSI YA KUCHEZA.

Mteja wa SportPesa anaweza kucheza Nambari za Bahati akiwa amejisajili na kuweka pesa kwenye akaunti yake.

Kucheza mchezo wa Nambari za Bahati/Lucky Numbers kwa kuchagua mchezo uupendao kwa kuzingatia muda uliopangwa kucheza, baada ya kuchagua utapokea masoko zaidi ya 14 yanayopatikana kulingana na droo uliyochagua.

Weka dau lako kwa kuweka kiasi cha kucheza kisha weka ubashiri wako. Mara baada ya droo kuchezwa matokeo hupatikana kwenye tovuti na APP ya sportpesa.

“Kima cha chini cha kucheza Nambari za bahati ni kuanzia shilingi 50 za kitanzania na unaweza kujishindia mamilioni kupitia hicho kiwango.

“Aina hii ya mchezo ni burudani ambayo inakupa nafasi wewe kushiriki kwenye droo za kimataifa kulingana na bahati yako.”

Mwisho!!
download%20(4).jpg
 
Back
Top Bottom