Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 269,451
- 1,100,847
Mungu haja kuumba kuja duniani kutalii na kushangaa wenzako waki fanikiwa. Usi kubali kuwa shuhuda na kudhani wenzako wame pendelewa. Komaa na hiyo ndoto yako. Hakuna kilicho rahisi, katika magumu mengi kuna matunda mengi yame jificha