Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Inashangaza sana pale ambapo watu waliokutendea mabaya, ndio hao hao wanawahadithia watu wengine story za uongo kuhusu wewe ili tu wao waonekane hawana hatia ..
 
6309.jpg
 
"Sina tabia ya kusajili wachezaji wenye majina makubwa.
Huwapa majina makubwa wachezaji wa kawaida."-- Jurgen Klopp.

Robert Lewandowski
Ikay Gundogan
Marco Reus
Sadio Mane
Roberto Firmino
Mohamed Salah
VVD
Robertson
Trent Alexander Arnold
Gotze
Nk
9374.jpg
 
Back
Top Bottom