Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mashabiki wa Simba toka Tunduma mkoani Songwe, ambao wanasafiri kwenda Dar es Salaam wamepata ajali Vigwaza mkoani Pwani.
Mashabiki hao walikuwa wanasafiri na gari aina ya Toyota Coaster walikuwa wanaenda kuiona timu yao kwenye mchezo ligi ya mabingwa Afrika, mechi hiyo hatua ya robo fainali, inachezwa leo Ijumaa kwenye uwanja wa Mkapa.
Hakuna aliyefariki lakini kuna majeruhi wengi.
902.jpg
 
Back
Top Bottom