Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 268,256
- 1,095,810
Nanaa (Mint)
Nanaa ni majani ya mnanaa ambayo hutumiwa kama kiungo. Nanaa husaidia katika kuzuia hali ya mwako wa moto tumboni, kupunguza kichefuchefu, kuzuia kutapika na kuharisha.