Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 269,041 1,098,719 Oct 23, 2021 #1,283,941 Vilevile nanaa husaidia katika uyeyushwaji wa chakula tumboni.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 269,041 1,098,719 Oct 23, 2021 #1,283,942 Nanaa iliyooshwa vizuri kwa maji safi na salama inawez a kutafunwa.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 269,041 1,098,719 Oct 23, 2021 #1,283,943 Vilevile inaweza kutumika kutengeneza kinywaji cha moto au kusukutua wakati mtu anapokuwa na vidonda kinywani
Vilevile inaweza kutumika kutengeneza kinywaji cha moto au kusukutua wakati mtu anapokuwa na vidonda kinywani
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 269,041 1,098,719 Oct 23, 2021 #1,283,944 Thyme” ‘‘T h y m e’’ inaweza kuzuia maambukizi yanayosababishwa na bakteria au fangasi.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 269,041 1,098,719 Oct 23, 2021 #1,283,945 Vilevile kiungo hiki husaidia kupunguza kikohozi na kulainisha koo.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 269,041 1,098,719 Oct 23, 2021 #1,283,946 Zaidi ya hayo “thyme” husaidia ukuaji wa bakteria wazuri wanaosaidia katika uyeyushwaji wa chakula tumboni.
Zaidi ya hayo “thyme” husaidia ukuaji wa bakteria wazuri wanaosaidia katika uyeyushwaji wa chakula tumboni.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 269,041 1,098,719 Oct 23, 2021 #1,283,947 Inaweza kutumika kama kinywaji cha moto au kusukutua.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 269,041 1,098,719 Oct 23, 2021 #1,283,948 Meti (Methi) Meti ni majani ya mmea uitwao kwa Kiingereza “Fenugreek”. Kwa Kiswahili inaitwa (Uwatu)
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 269,041 1,098,719 Oct 23, 2021 #1,283,949 Hii ni aina ya kiungo ambacho huchochea uvunjaji wa kemikali mwilini yaani umetaboli.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 269,041 1,098,719 Oct 23, 2021 #1,283,950 Majani ya meti yanaweza kukaushwa na kutumika kama kiungo au kutumika yakiwa mabichi.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 269,041 1,098,719 Oct 23, 2021 #1,283,951 Vilevile mbegu za “Fenugreek” UWATU huweza kukaushwa, kusagwa na kutumika katika kutengeneza unga wa viungo yaani “curry powders”.
Vilevile mbegu za “Fenugreek” UWATU huweza kukaushwa, kusagwa na kutumika katika kutengeneza unga wa viungo yaani “curry powders”.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 269,041 1,098,719 Oct 23, 2021 #1,283,952 Meti inaweza kutumika kama kiungo katika vyakula mbalimbali ikiwa ni pamoja na mboga za majani na vilevile katika mapishi mbalimbali ya samaki.
Meti inaweza kutumika kama kiungo katika vyakula mbalimbali ikiwa ni pamoja na mboga za majani na vilevile katika mapishi mbalimbali ya samaki.
myoyambendi JF-Expert Member Sep 13, 2013 148,791 660,031 Oct 23, 2021 #1,283,956 Mungu atupe afya na uzima 🙏🤲
myoyambendi JF-Expert Member Sep 13, 2013 148,791 660,031 Oct 23, 2021 #1,283,957 Mungu awaponye wagonjwa wote 🙏
myoyambendi JF-Expert Member Sep 13, 2013 148,791 660,031 Oct 23, 2021 #1,283,958 BAK said: View attachment 1983768 Click to expand... Aisee
myoyambendi JF-Expert Member Sep 13, 2013 148,791 660,031 Oct 23, 2021 #1,283,959 Weekend iwe ya amani na upendo..