BAK JF-Expert Member Feb 11, 2007 124,789 288,020 Oct 23, 2021 #1,283,901 Your browser is not able to display this video.
BAK JF-Expert Member Feb 11, 2007 124,789 288,020 Oct 23, 2021 #1,283,907 Your browser is not able to display this video.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,071 Oct 23, 2021 #1,283,908 Karafuu (Cloves)Karafuu hutokana na mmea wa mkarafuu. Kiungo hiki huweza kutumika peke yake au kwa kuchanganya na viungo vingine.
Karafuu (Cloves)Karafuu hutokana na mmea wa mkarafuu. Kiungo hiki huweza kutumika peke yake au kwa kuchanganya na viungo vingine.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,071 Oct 23, 2021 #1,283,909 Kiungo hiki husaidia kuleta hamu ya kula na kuboresha uyeyushwaji wa chakula tumboni.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,071 Oct 23, 2021 #1,283,910 Vilevile karafuu husaidia kupunguza kichefuchefu, kutapika na kuharisha.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,071 Oct 23, 2021 #1,283,911 Ni nzuri ikitumiwa katika supu, mchuzi, juisi ya matunda yenye uvuguvugu au vinywaji vingine vilivyochemshwa.
Ni nzuri ikitumiwa katika supu, mchuzi, juisi ya matunda yenye uvuguvugu au vinywaji vingine vilivyochemshwa.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,071 Oct 23, 2021 #1,283,912 Binzari (Turmeric/Yellow Root)Binzari halisi hutokana na mizizi ya mmea wa binzari manjano ambao hufanana na ule wa tangawizi.
Binzari (Turmeric/Yellow Root)Binzari halisi hutokana na mizizi ya mmea wa binzari manjano ambao hufanana na ule wa tangawizi.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,071 Oct 23, 2021 #1,283,913 Mizizi ya binzari huweza kukaushwa, kusagwa na kutengeneza unga wa binzari ya manjano ambao hutumika kama kiungo cha chakula.
Mizizi ya binzari huweza kukaushwa, kusagwa na kutengeneza unga wa binzari ya manjano ambao hutumika kama kiungo cha chakula.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,071 Oct 23, 2021 #1,283,914 Vilevile binzari mbichi inaweza kutwangwa na kutumika kwenyeMapishi mbalimbali.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,071 Oct 23, 2021 #1,283,915 Binzari ikitumiwa katika chakula, hukifanya kuwa na rangi ya njano.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,071 Oct 23, 2021 #1,283,916 Binzari inaweza kutumika kwenye mapishi ya wali au vyakula vingine vya nafaka, pia kwe n ye mchuzi aumaharagwe
Binzari inaweza kutumika kwenye mapishi ya wali au vyakula vingine vya nafaka, pia kwe n ye mchuzi aumaharagwe
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,071 Oct 23, 2021 #1,283,917 Binzari husaidia katika uyeyushwaji wa chakula na pia husaidia mwili usiharibiwe na kemikali mbaya.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,071 Oct 23, 2021 #1,283,918 Ni vizuri kuwa waangalifu tunaponunua binzari ile ya unga kwani wakati mwingine wauzaji huuza binzari ambayo si binzari halisi.
Ni vizuri kuwa waangalifu tunaponunua binzari ile ya unga kwani wakati mwingine wauzaji huuza binzari ambayo si binzari halisi.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,071 Oct 23, 2021 #1,283,919 Binzari hii ambayo si halisi hutengenezwa kwa kutumia aina za unga wa nafaka ambao huchanganywa na rangi ya manjano na binzari kidogo.
Binzari hii ambayo si halisi hutengenezwa kwa kutumia aina za unga wa nafaka ambao huchanganywa na rangi ya manjano na binzari kidogo.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,071 Oct 23, 2021 #1,283,920 Limau (Lemon)Limau linaweza kutumika kama kiungo katika chakula na vinywaji kama chai au vinywaji vingine.
Limau (Lemon)Limau linaweza kutumika kama kiungo katika chakula na vinywaji kama chai au vinywaji vingine.