Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mbali na hilo wana kinywaji , chakula na sigara zozote ambazo bwana Kim atataka kutumia wakati wa ziara yake Singapore na watachunguza chakula chochote ama kinywaji kabla ya kupakuliwa.
 
Mshambuliaji wa Chelsea Mjerumani Timo Werner, 25, ndiye mchezaji anayelengwa zaidi, pamoja na kiungo mlinda lango wa Bayern Munich na Mjerumani Niklas Sule, 26, Kiungo wa kati wa Barcelona MBrazili Philippe Coutinho, 29, na meneja Mjerumani kama vile meneja wa zamani wa Dortmund Lucien Favre. (Bild - in German)
 
The Magpies wamewasiliana na wawakilishi wa kiungo mlinda lango wa Ufaransa anayechezea timu ya Leicester City Wesley Fofana kuhusu uwezekano wa uhamisho katika dirisha la uhamisho wa mwezi wa Januari. (RMC Sport - in French)
 
Kiungo wa kati wa Juventus na Ufaransa Adrien Rabiot amehusishwa na uhamisho wa Newcastle , huku klabu hiyo ya Serie A ikiwa tayari kumuuza mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 mwezi Januari ili kuweza kutafuta fedha za kumnunua kiungo wa kati wa Monaco na raia wa Ufaransa Aurelien Tchouameni au kiungo wa kati wa Manchester United na Uholanzi Donny van de Beek, 24. (Calciomercato - in Italian)
 
Barcelona wako makini kumuachilia Philip Coutinho katika kipindi cha dirisha la uhamisho la mwezi Januari huku Liverpool ikiwa tayari kumrejesha tena mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 katika uwanja wa Merseyside. (El Chiringuito TV, via Express)
 
Meneja wa Leicester City Brendan Rodgers ndiiye mtu wa kwanza anayefikiriwa kuchukuliwa na wamiliki wa klabu ya Newcastle iwapo wataamua kumfuta kazi meneja wa sasa Steve Bruce. (Sky Italy via Mirror)
 
Back
Top Bottom