BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,020
Sawasawa7. Tango husaidia kupungua uzito na mmeng’enyo uende vizuri. Kutokana na kiasi kidogo cha sukari kilichopo kwenye tango na kiasi kikubwa cha maji, tango ni tunda sahihi kukusaidia upungue uzito.
SawasawaView attachment 1973442
Raha ya mchuzi pilipili 😋😋