Testosterone ni homoni za kiume zinazowafanya wanaume kuhisi kuwa wanaume huku estrogen zikiwa homoni za kike ambazo humsaidia mwanamke kupata ujauzito .
Kwikwi ni mkazo wa ghafla na usio wa hiari wa misuli ya kiwambo unaosababisha pumzi kutokea kinywani na sauti ya kugugumia kutokana na hewa kuingia kwenye umio.
Msongo wa mawazo unaweza kutokea iwapo mwanaume hana kazi, iwapo mwanaume hana fedha ama iwapo kuna changamoto katika ndoa yake ama kutoka kokote kule.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.