Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Meno huanza hukua miezi 6 kabla ya kuzaliwa

Ingawa mtoto mchanga napozaliwa meno yake yanakuwa bado hayajachomoza kwa nje, lakini yanakuwa tayari yameshaanza kuota kwa ndani miezi sita kabla ya kuzaliwa.
 
Figo yako ina vichujio milioni moja

Kila figo yako moja ina vichujio takriban milioni moja vinavyochuja lita 1.3 za damu kila dakika na kupelekea kuzalisha lita 1.5 za mkojo kwa siku.
 
Ndevu za mwanaume zinaweza kufikia mita tisa

Inaelezwa kuwa ikiwa mwanaume hatonyoa ndevu katika maisha yake yote; ndevu zake zinaweza kukua na kufikia urefu wa mita tisa.
 
Back
Top Bottom