myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 147,959
- 657,318
Sawasawa..Kusamehe Sio Kusahau..! Bali ni kubaki na Kumbukumbu Isiyo na Kisasi..
Sawasawa..Kusamehe Sio Kusahau..! Bali ni kubaki na Kumbukumbu Isiyo na Kisasi..
Heshima yako Bro! maana nimeona shikamoo haitoshi sasa 😀😀Nilisoma Ihungo miaka ya 60 palikuwa hivyo hivyo japo palikuja kufanyiwa mabadiliko kidogo. Nikapita tena miaka ya 80 nikapakuta pako vile vile. 2010 nilipita huko tena nikakuta kumezidi kuharibika. Sijui hata tatizo ni nini yaani!
Dah! Miaka ya 60 ulikua tayari Sec. school!?
Shikamoo mzee SYB
Asubuhi njema
Salaam broSalam kwenu wote..
AminYa Allah katiKa Dhiki tupe faraja
Katika Maradhi tupe Shufaa
Katika mtihani tupe Subra
Katika faraja tupe Twaha
Katika Rizki tupe Baraka
Katika Dini tupe Imani
Katika Mauti tupe Shahada
katika kaburi tupe Mwangaza
Ameen rabbi.
Polepole Numby!!Don Karkos alipoteza uwezo wa kuona baada ya kupigwa na kitu kichwani kwenye vita kuu ya pili ya Dunia. Miaka 64 baadae alipigwa teke na Punda kichwani akaanza kuona tena!
mzee mwenzenu ni wa kuwa nae makini sana hasa linapokuja suala la miakaAnadai eti alikuwa O level Ihungo miaka ya 60,
Mi binafsi nimechoka asee, huenda tupo na kaka na baba zetu hapa
Waa'alyequm salaam bro, mfungo tunaendelea nao...kwema hapo bro? Ni matumaini yangu kuwa mfungo utakuwa unaenda salama pia hapo...Asalaam Alyeikum.
Habari za mfungo bro.
Mzee SHIMBA YA BUYENZE ametuchomolea betri
Kusamehe Sio Kusahau..! Bali ni kubaki na Kumbukumbu Isiyo na Kisasi..
Yani kuna wageni wajasiri sana, wewe unamletea juice anakujibu nitakunywa wakati wa chakula.Chakula kipi?
Sawa mzee wangu, nmepokea mwaliko wakoNdugu zangu. Ya nini tuandikie wino na mate yapo? Nitakuwa nyumbani Misungwi Julai hii. Ye yote atakayependa nitakuwa tayari kuonana naye (isipokuwa Esta wa anonimazi foreva). Andaeni tu shikamoo za kutosha. Umri umeenda kwa kweli si mchezo. Tumshukuru Mungu Wapendwa