Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,297
- 122,384
Heshima yako Bro! maana nimeona shikamoo haitoshi sasa
Heshima yako Bro! maana nimeona shikamoo haitoshi sasa
AminYa Allah katiKa Dhiki tupe faraja
Katika Maradhi tupe Shufaa
Katika mtihani tupe Subra
Katika faraja tupe Twaha
Katika Rizki tupe Baraka
Katika Dini tupe Imani
Katika Mauti tupe Shahada
katika kaburi tupe Mwangaza
Ameen rabbi.
😂😂😂😂😂😂😂😂Polepole Numby!!
Jamaa anachezea nambamzee mwenzenu ni wa kuwa nae makini sana hasa linapokuja suala la miaka
Nashukuru bro, tumeshaingia kumi la mwisho.Waa'alyequm salaam bro, mfungo tunaendelea nao...kwema hapo bro? Ni matumaini yangu kuwa mfungo utakuwa unaenda salama pia hapo...
Mzee Shimba hatari sana
🤣 🤣HUJATENGWA... Pata Pesa tuu uone utakavyo zungukwa na Marafiki, na jamiii kwa ujumla kukuliza nini kifanyike.