moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 126,047
- 692,084
DuuuUkipenda sio lazima Upendwe
Ze don mimi mwenyewe nimemnyamzia tu hapo kwenye 60
Ila we kikongwe unanishangaza sana
Shida ya huyu mzee ni kwenye namba, sijui zimemkosea nini haki ya Mungu, kumuamini unatakiwa uwe na imani iliyo aminika kweli kweli
Anadai eti alikuwa O level Ihungo miaka ya 60,
Mi binafsi nimechoka asee, huenda tupo na kaka na baba zetu hapa
Asalaam Alyeikum.
Habari za mfungo bro.
Mzee SHIMBA YA BUYENZE ametuchomolea betri
Ndugu zangu. Ya nini tuandikie wino na mate yapo? Nitakuwa nyumbani Misungwi Julai hii. Ye yote atakayependa nitakuwa tayari kuonana naye (isipokuwa Esta wa anonimazi foreva). Andaeni tu shikamoo za kutosha. Umri umeenda kwa kweli si mchezo. Tumshukuru Mungu WapendwaHahahahahahaha, ze Don njoo huku
Kama kiongozi wa nchi na anayeijua vyema jamii yake hawezi kukwepa lawama. The buck stops with him! He failed !!modi atalaumiwa tu ila wahindi kwa sherehe zao za kidini huwaambii kitu wanasahau kabisa kuhusu corona pia india kuna kiasi kikubwa cha watu maskiniiiiiiii yaan ukiangalia wanavyoishi hatari kubwa hapo bado mchezo wa kutekana ili kuchomoa figo
Ukifika Misungwi, baada ya mapumziko ya wiki moja huko Usukumani "nakualika" Dar es salaam kwa matembezi.Ndugu zangu. Ya nini tuandikie wino na mate yapo? Nitakuwa nyumbani Misungwi Julai hii. Ye yote atakayependa nitakuwa tayari kuonana naye (isipokuwa Esta wa anonimazi foreva). Andaeni tu shikamoo za kutosha. Umri umeenda kwa kweli si mchezo. Tumshukuru Mungu Wapendwa
ila duh modi ni mfalme au waziri mkuu pekee yaan katawala muda mrefu mnoKama kiongozi wa nchi na anayeijua vyema jamii yake hawezi kukwepa lawama. The buck stops with him! He failed !!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
why not me,me not why😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ndugu zangu. Ya nini tuandikie wino na mate yapo? Nitakuwa nyumbani Misungwi Julai hii. Ye yote atakayependa nitakuwa tayari kuonana naye (isipokuwa Esta wa anonimazi foreva). Andaeni tu shikamoo za kutosha. Umri umeenda kwa kweli si mchezo. Tumshukuru Mungu Wapendwa
Dah! Miaka ya 60 ulikua tayari Sec. school!?Nilisoma Ihungo miaka ya 60 palikuwa hivyo hivyo japo palikuja kufanyiwa mabadiliko kidogo. Nikapita tena miaka ya 80 nikapakuta pako vile vile. 2010 nilipita huko tena nikakuta kumezidi kuharibika. Sijui hata tatizo ni nini yaani!