Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,490
- 46,807
Kwa hiyo umeacha kuanzia leo?Sawa
NdioKwa hiyo umeacha kuanzia leo?
Ok! VizuriNdio
Natania bana 😀😀Ok! Vizuri
Sikujua kama wewe pia ni mmoja wao
Dah! Sijui ni nini?Natania bana 😀😀
Pale mjini Bukoba kulikuwa na vigogo wawili Meya wa mji Anatory Amani na mbunge Hamis Kagasheki.Nilifika kwa mara ya kwanza stand hiyo nikiwa kondakta mwaka 1998 baada ya elnino,nimehudumu hapo kwa miaka 4 na rafiki yangu mchezaji wa zamani Kaitaba.
Mwaka jana nimeenda nimekuta ipo kama nilivyoiacha mwaka 2002,mabadiliko nimeyakuta kwa wapiga debe ndo wamezeeka.
Sijui serikali kwanini wameizira Bukoba!
Pole sana jamani Coco. Ndio hivyo Taasisi zingine wanaita watu interview ila kiuhalisia hiyo nafasi unakuta ilishajazwaDah! Sijui ni nini?
Nilijikuta mnyonge saaana!
Ahsante
Et wanaita "formality" or the standard recruitment procedure ...Pole sana jamani Coco. Ndio hivyo Taasisi zingine wanaita watu interview ila kiuhalisia hiyo nafasi unakuta ilishajazwa