Nilifika kwa mara ya kwanza stand hiyo nikiwa kondakta mwaka 1998 baada ya elnino,nimehudumu hapo kwa miaka 4 na rafiki yangu mchezaji wa zamani Kaitaba.
Mwaka jana nimeenda nimekuta ipo kama nilivyoiacha mwaka 2002,mabadiliko nimeyakuta kwa wapiga debe ndo wamezeeka.
Sijui serikali kwanini wameizira Bukoba!
Pale mjini Bukoba kulikuwa na vigogo wawili Meya wa mji Anatory Amani na mbunge Hamis Kagasheki.
Vigogo hawa walikuwa na uwezo wa kujenga stendi nzuri ya kisasa lakini wametumia muda mwingi wa utumishi wao kugombana baina yao.
Bahati mbaya wanaokuja sasa wamekosa ubunifu na mbinu
 
E0b31b3WQAMxEDH.jpg
 
915 Reactions
Reply
Back
Top Bottom