Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1607780379642.jpg
 
Nilifika kwa mara ya kwanza stand hiyo nikiwa kondakta mwaka 1998 baada ya elnino,nimehudumu hapo kwa miaka 4 na rafiki yangu mchezaji wa zamani Kaitaba.
Mwaka jana nimeenda nimekuta ipo kama nilivyoiacha mwaka 2002,mabadiliko nimeyakuta kwa wapiga debe ndo wamezeeka.
Sijui serikali kwanini wameizira Bukoba!
Nilisoma Ihungo miaka ya 60 palikuwa hivyo hivyo japo palikuja kufanyiwa mabadiliko kidogo. Nikapita tena miaka ya 80 nikapakuta pako vile vile. 2010 nilipita huko tena nikakuta kumezidi kuharibika. Sijui hata tatizo ni nini yaani!
 
Kuna vifo vingine mwanadamu anasimangwa kimakosa sana,yaani mtu anafia juu ya kiuno cha huyu mrembo, watu from no wea wanaanza mikelele miiingi... "oo mtu mzima tena mzee wa kisukari hajiheshimu, ameparamia pasipo paramika matokeo yake kakata moto..."

Jamanii... Nani kasema hatuwezi kuparamia "miamba ya moto!"

Siku ya kufa ni moja tu, dude kama hilo likipita mbele yangu, likafanya makosa ya kiufundi, likanichekea.... Kwani kifo nini... Si ni kuondoka duniani na kuhamia huko kwingine.
Ila Mungu fundi jamani, kizazi hiki kipya kivivuvivu kakibarikia kila kitu cha mvuto. Ila hakina shukurani, kucha kuchwa kubana mambupu yao na vinguo vya wadogo zao hadi wanapoteza hadhi ya kuitwa wanaume.
Natamani, natamaniiii...
Mwanadamu nimeumbiwa tamaa.
Tamaa nimeishinda
Ila huyo mdada kaninyong'olesha imani yangu.
We jamaa wewe. Nakwenda kukushtakia kwa Kabula
 
View attachment 1772282

India hits new grim record with 3,689 COVID-19 deaths in one day. India has recorded its deadliest day of the coronavirus pandemic yet, with 3,689 deaths in the last 24 hours.
Neandra Modi has let let down his people. This is not acceptable for a country that is a leader in pharmaceuticals and medical technology. Very sad
 
Back
Top Bottom