Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,377
- 205,773
Hiiih! Wewe acha tuMwana mpotevu
Hiiih! Wewe acha tuMwana mpotevu
🏃♀️🏃♀️🏃♀️Mambo Yegoumetimukia lini tena Aseno? We nae... 😞
😂😂😂😂 kwahyo imekula kwangu.?
Morning PalMorning palz
Kwema, habari za hukoNipo sana bro.... vipi kwema hapo home?
Inaanzaje sasa kula kwako tena? 😀😂😂😂😂 kwahyo imekula kwangu.?
Alhamdulillah!.....Kwema, habari za huko
yupo geto huyoAnaitwa Asia Nurdini.
Umri miaka 17.
Anasoma kidato cha 3.
Ametoweka tangu sep 15 2020.
Mkaazi wa Bomang'ombe
Kama utamuona wasiliana na wazazi
Kwa namba
0657235323 Nirdini MajaroView attachment 1572061
Kwamba mwamba kaamua amuweke boarding kabisa? 😄yupo geto huyo
Itakuwa hivyo.yupo geto huyo
Kuna dada wa kazi alipotea bila kuaga basi kwenda police kutoa taarifa wakasema "kaendeleeni na mambo mengine huyo yupo sehemu salama"Itakuwa hivyo.
Mabaharia siyo watu
Mtu mzima namna hiyo anapoteaje?Kwamba mwamba kaamua amuweke boarding kabisa?
Hahah! Yeye ndio hajapotea ila nyumbani kwao kapoteaMtu mzima namna hiyo anapoteaje?
Kwanza kwa jinsi tu alivyo inaonyesha hajapotea
Kwahiyo baadaye mlimuona?Kuna dada wa kazi alipotea bila kuaga basi kwenda police kutoa taarifa wakasema "kaendeleeni na mambo mengine huyo yupo sehemu salama"
Kumbuka ana miaka 17, angalau angefikisha 18.Mtu mzima namna hiyo anapoteaje?
Kwanza kwa jinsi tu alivyo inaonyesha hajapotea