Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 178,275
- 1,077,692
Nitakuletea KidiaSYB kampala yangu iko wapi?View attachment 1204608
Nitakuletea KidiaSYB kampala yangu iko wapi?View attachment 1204608
Na wewe unataka kwenda kuhiji Kidia Lodge?
Halafu ilivyokutoka sasa. Mwenyewe hapa nimecheka sana...Si kwa wewe hapo
Wallahi ningekuwa na Mpesa yako ningekurushia mkwanja wa supu kwa mwezi mzima. Hata huna haja ya kuja Kidia. Kidia mwachie DepalSijali wapi nataka tu hiyo supu
Na mavita yaliyofuatia yamewacost sana...billions of $ and lot of blood...Ilikuwa habari mbaya sana, hawatasahau.
RPG...Wamarekani walimuuzia Osama kibao hizi wakati anapambana na Warusi. Wameenda wamezikuta bado zipo zimewamaliza kweli kweli