Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 178,203
- 1,077,349
Mkuu, messages kaulizie huko huko zinakochelewa kujibiwa. Usimwage kuku kwenye mtama mchache1.Nipe habari
2. Mbona unachelewa kujibu messages zangu?
Itabidi uhame tu kwa sababu hakuna namna
Ndiye anauza hiyo dawa ya Mvunge ama?Beautiful View attachment 1204786
If he dies he dies....
Halafu ilivyokutoka sasa. Mwenyewe hapa nimecheka sana...
Hivi wewe huwaga ni kakimbaumbau ama?
linanitokaga mara nyingi hujawahi kuniona? Mimi sio kimbaumbau ila pia sina churaHalafu ilivyokutoka sasa. Mwenyewe hapa nimecheka sana...
Hivi wewe huwaga ni kakimbaumbau ama?
Aaaa wapiHehehe nimeshakutumia huko kwa waziri mkuu.. Sijaribiwi mimi
Unawakilisha vyema still