Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kgothalo

Kgothalo

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2015
Messages
4,859
Points
2,000
Kgothalo

Kgothalo

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2015
4,859 2,000
Enzi zetu kijiji kizima anashinda mtu mmoja kwenda sekondari. Siku hizi darasa zima, hata wasiojua kusoma na kuandika, wanakwenda sekondari. Tumetoka mbali !!!
Sana tumetoka mbali sana sisi wahenga.....maandaeitini hapa hata hawaelewi tunaongelea nini
 
SHIMBA YA BUYENZE

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2014
Messages
107,567
Points
2,000
SHIMBA YA BUYENZE

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2014
107,567 2,000
Sana tumetoka mbali sana sisi wahenga.....maandaeitini hapa hata hawaelewi tunaongelea nini
Sis bana. Wacha hizo. Watoto wa 1995+ nyinyi .

Enzi zetu unarudi likizo wanakijiji wanakuja kukuangalia. Mademu wote kijijini unajichagulia tu yaani hakuna hata kutongoza...
 

Forum statistics

Threads 1,335,181
Members 512,245
Posts 32,498,221
Top