The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,965
- 45,350
Hahahaha,Uko huru TH...Free spirit indeed wallahi.
Linda sana uhuru wako ili usije ukaishia kunyang'anywa nywila kama wenzako humu
Nywila muhimu kwakwelii
Hahahaha,Uko huru TH...Free spirit indeed wallahi.
Linda sana uhuru wako ili usije ukaishia kunyang'anywa nywila kama wenzako humu
Nyie watu wenye akili sana mkijaga huku kwa wajinga wajinga na kuwakumbusha juu ya ujinga ujinga wao wakati nyie wala siyo wajinga wajinga huwa mnanifurahisha sana na hata kunisikitisha kwa kutokuwa wajinga wajinga. Kula likes mkuuYaani ndio forum uki comment au ku write hata ujinga ujinga unakula like za maana
waambie maana kuna mabaharia hawataki kumrudia Mungu wanategemea kuombewaAaa wapi! Uchuro wa binadamu tu. Sala za wafu mai futi. Yaani wewe uishi maisha ya hovyo ya kibaharia halafu ufe watu ndiyo wakuombee uende mbinguni? Thubutuuu!!!
🙏🙏🙏Mungu atupe afya na uzima..
Nataka nikupeleke huko siku moja pamoja tukatalii maeneo mashuhuri ya kuchomolea betri. JiandaeSYB bana
😂😂😂 then dinner unilishe supu na chipsNataka nikupeleke huko siku moja pamoja tukatalii maeneo mashuhuri ya kuchomolea betri. Jiandae
Wanawake Mungu Anawaona indeed wallahi
😂😂😂 sikuwezi 🙌
Mi silagi chips. Basi utaagiza chakula kingine. Cha muhimu tu tufike kuhiji Kidia Lodgesikuwezi
Me supu tu hiyo, chips utakula mwenyewe
Hahaha sawa, nasubiria mtoko huoMi silagi chips. Basi utaagiza chakula kingine. Cha muhimu tu tufike kuhiji Kidia Lodge