myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 147,872
- 657,180
Yaani ndio forum uki comment au ku write hata ujinga ujinga unakula like za maana
Moud mie mzima, fundi maiko hajambo?TH mambo.
Umeona mambo hayo
Kuna udaku hapa hatari
Moud mie mzima, fundi maiko hajambo?
Mambo nmeyaona, nasubiri editing
ananikosha sana fundi
Nyie watu wenye akili sana mkijaga huku kwa wajinga wajinga na kuwakumbusha juu ya ujinga ujinga wao wakati nyie wala siyo wajinga wajinga huwa mnanifurahisha sana na hata kunisikitisha kwa kutokuwa wajinga wajinga. Kula likes mkuu
SYB kampala yangu iko wapi?View attachment 1204608
Moud mie mzima, fundi maiko hajambo?
Mambo nmeyaona, nasubiri editing
ujinga mzigo
Fundi maiko huyo hapoMoud mie mzima, fundi maiko hajambo?
Mambo nmeyaona, nasubiri editing