Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 7,397
- 9,320
Yaani ndio forum uki comment au ku write hata ujinga ujinga unakula like za maana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko huru TH...Free spirit indeed wallahi.
Majamaa siku hizi hayapo, najidaii
Hahahaha,Uko huru TH...Free spirit indeed wallahi.
Linda sana uhuru wako ili usije ukaishia kunyang'anywa nywila kama wenzako humu
Nyie watu wenye akili sana mkijaga huku kwa wajinga wajinga na kuwakumbusha juu ya ujinga ujinga wao wakati nyie wala siyo wajinga wajinga huwa mnanifurahisha sana na hata kunisikitisha kwa kutokuwa wajinga wajinga. Kula likes mkuuYaani ndio forum uki comment au ku write hata ujinga ujinga unakula like za maana
waambie maana kuna mabaharia hawataki kumrudia Mungu wanategemea kuombewaAaa wapi! Uchuro wa binadamu tu. Sala za wafu mai futi. Yaani wewe uishi maisha ya hovyo ya kibaharia halafu ufe watu ndiyo wakuombee uende mbinguni? Thubutuuu!!!
🙏🙏🙏Mungu atupe afya na uzima..
Nataka nikupeleke huko siku moja pamoja tukatalii maeneo mashuhuri ya kuchomolea betri. JiandaeSYB bana
😂😂😂 then dinner unilishe supu na chipsNataka nikupeleke huko siku moja pamoja tukatalii maeneo mashuhuri ya kuchomolea betri. Jiandae
Wanawake Mungu Anawaona indeed wallahi
😂😂😂 sikuwezi 🙌