Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,495
- 13,132
MPENI SHETANI LIKES ZAKE TAFADHARI
Hii imeniingia kama sindano ya penicillin. Hata bila kuangalia nilijua tu aliyeiweka. The one and only one - My dear sis
Hawa nao. Msimbe ni mwanamke. Mwanaume hawezi kuwa msimbe. Wanatohoa maneno na kuyaongezea uzio wa matumizi yake bila kuzingatia utamaduni wa huko walikoyatoa.
Ni nini hiyo bro?Yaani hapa tuu....
Acha niendelee mambo mengine...View attachment 1193268