andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 18,709
- 119,603
Mitambo ya kutengenezea gongo hapa kijijini kwetu.Ni nini hiyo bro?
Karibu tuinjoike ndugu yangu
Mitambo ya kutengenezea gongo hapa kijijini kwetu.Ni nini hiyo bro?
Sio hiyo anayoionyesha muzeiyaa?huu wali nyama wa 1,000 ni nyama ipi inayozungumziwa hapa!? Ni nyama ya ng’ombe au ya mbuzi!? Au ni nyama NYAMA?
Benfica wanapata faida kwenye mauzo ila nje ya hapo hawana faida kuzidi timu nyenginezo, Unless Benfica ingekua inawatunza hao wachezaji angalau misimu miwili kama timu nyenginezo mfano Atletico madrid ili waifikishe mbali kimafanikio ndani ya uwanja wapate coverage kubwa iwaongeze washabiki, wauze jezi, wapanue uwanja, Tv rights wapewe hela nyingi n.k kuliko kuambulia hizo faida za kuuza mtu mmoja mmoja huku mapato mengi hayakuwi kwa sababu ya kukosa wachezaji wenye mvuto kibiashara.Hakuna klabu iliyopata faida kubwa kama Benfica ya Ureno ambayo imeuza wachezaji 29 kwa zaidi ya dau la Pauni 10 milioni na kinda mahiri, Joao Felix ameweka rekodi ya mauzo kwa kutua Atletico Madrid kwa dau la Pauni 113 milioni.
Klabu nyingine kama RB Salzburg, Sao Paulo na Basel ni miongoni mwa klabu ambazo pia zimetengeneza faida kubwa katika mauzo ya mastaa. Klabu za Kiingereza Leicester, Bournemouth, Stoke, Brighton, Aston Villa, Everton, West Ham, Wolves, Liverpool, Arsenal, Chelsea, Manchester United na City ni miongoni mwa klabu 25 za juu za Ulaya ambazo zimejikuta zikipata hasara linapokuja suala la mauzo na manunuzi.
Kwa faida ya mauzo ya wachezaji wanaoondoka, Chelsea inaongoza kwa faida baada ya kumuuza Eden Hazard kwenda Real Madrid na sasa imeuza mastaa wake kwa kiasi cha Pauni 811 milioni katika kipindi cha miaka 10 iliyopita.
ronaldo amebadilika sana kifikra tofauti na mwanzoni alivyokuwepo real madrid, nimeyapenda sana haya mahojiano.
Una uhakika mkuu?Hahahahaha nadhani ndiyo hii Mkuu.
ronaldo amebadilika sana kifikra tofauti na mwanzoni alivyokuwepo real madrid, nimeyapenda sana haya mahojiano.
hotuba ya eric cantona ilikuwa ni bora zaidi kuliko hotuba ya kiongozi mkuu wa mataga
Una uhakika mkuu?
Isije kuwa alimaanisha hiiView attachment 1193784