capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,353
- 121,237
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamfahamu mtu anaitwa Lucifer Original hapa JF kamanda? Angalia usije ukawa shetani feki tu
On a serious note. Inakuwaje mtu unajiita shetani? Una roho mbaya sana au inakuwaje sasa?
Si kweli, kama hujui asili na maana ya hilo jina usilitumie.Shetani ni jina tu kama majina mengine ..
Alaa kumbe shukrani mkuu SYBHawa nao. Msimbe ni mwanamke. Mwanaume hawezi kuwa msimbe. Wanatohoa maneno na kuyaongezea uzio wa matumizi yale bila kuzingatia utamaduni wa huko walikoyatoa.
Sijui kwenye makabila mengine ila katika Kisukuma Nsimbe linatumika kwa wanawake pekee.