Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,377
- 205,773
๐๐๐Albino tree? ๐ jamani
๐๐๐Albino tree? ๐ jamani
๐๐๐ kwamba umeamini kidogo?nimechekaa! Sawa Dave apo nimeamini kidogo...... nilikuwa nimeandaa ubishi mwingine ila wacha nikuhurumie tu....
#NapendaMasihara
namba mbili hakunaga
Nilitaka kusema hiyo mibuyu michangakwamba umeamini kidogo?
#Ulitakakusemaimepakwarangi
Aya nihurumie tu sasa ๐Nilitaka kusema hiyo mibuyu michanga
Hofu kwako tuEh kwa kweli..!
Vipi khali yako lakini?
Huku kwema sana. Wewe hangaika na majukumu. Yakikaa sawa bila shaka swaga zitarudi. Hata hivi unapopita usiku wa manane kunatosha. Bora uzima tu