Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,440
Albino tree? 😁 jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Albino tree? 😁 jamani
nimechekaa! Sawa Dave apo nimeamini kidogo...... nilikuwa nimeandaa ubishi mwingine ila wacha nikuhurumie tu....
😂😂😂Albino tree? 😁 jamani
😀😀😀 kwamba umeamini kidogo?nimechekaa! Sawa Dave apo nimeamini kidogo...... nilikuwa nimeandaa ubishi mwingine ila wacha nikuhurumie tu....
#NapendaMasihara
namba mbili hakunaga
Nilitaka kusema hiyo mibuyu michangakwamba umeamini kidogo?
#Ulitakakusemaimepakwarangi
Aya nihurumie tu sasa 😀Nilitaka kusema hiyo mibuyu michanga
Hofu kwako tuEh kwa kweli..!
Vipi khali yako lakini?
Huku kwema sana. Wewe hangaika na majukumu. Yakikaa sawa bila shaka swaga zitarudi. Hata hivi unapopita usiku wa manane kunatosha. Bora uzima tu