Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

152.jpg
 
Kijue kijiji ambacho kila mtu ameshauza figo

Huko nchini Nepal kuna kijiji kinaitwa 'Hokse' ambacho karibu nusu ya watu wanaoishi hapo wameuza figo zao.

Kitendo hicho kimewafanya baadhi ya watu kukibatiza kijiji hicho jina la 'Kidney Village' yaani 'Kijiji cha Figo'.

Hata hivyo wengi wa wananchi wa kijiji hiki ni maskini wa kutupwa jambo linalowafanya wasione ugumu wowote wa kuuza figo zao ili kujipatia chochote cha kuendesha maisha.

Yaani kwa ufupi ni kwamba karibu nusu ya kijiji hicho watu wamebakia na figo moja moja.
 
Back
Top Bottom