moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 125,944
- 691,861
Utani wa jadi...
Mwanaume wa shoka wa miaka ya 70'View attachment 1193799
Shetani ni jina tu kama majina mengine ..
upo sahihi, kama ni upinzani wenye kuwapa mafanikio kwa pande zote mbili wameshautengeneza kwa muda mrefu sana na😂😂😂😂😂😂😂 labda ni mke labda ni mtoto wake labda ni kuongezeka umri na pia kujua kwamba he has only few more years to play. Kusema ukweli hata mimi mbali ya uchezaji wake hii positive attitude yake kwenye mtazamo wa maisha ya kila siku nimeipenda sana.
dewji amekuwa msemaji wa klabu ya simba?
upo sahihi, kama ni upinzani wenye kuwapa mafanikio kwa pande zote mbili wameshautengeneza kwa muda mrefu sana na
ni muda sahihi kwake kuachana na vijembe vya ajabu ajabu kwa mpinzani wake.
binafsi kabla ya kufa kwangu natamani nione picha ya magwiji hao wawili wakiwa pamoja na familia zao kwenye hafla maalum itakayowawezesha kupata chakula pamoja hususani dinner.