Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,377
- 205,773
Kwema kabisa mkuu, vipi huko?Kwema bro?
Kwema kabisa mkuu, vipi huko?Kwema bro?
Habari za siku mpya hii
Huku siwezi kulalamika bro...Kwema kabisa mkuu, vipi huko?
Mmmh bradha kikubali tu kidole mbona 'kimejaziajazia'Ndio hivyo.
Esta na wenzako mtakua hata hamjui hii ni nini
View attachment 1125404
#HichoKidoleSioChangu
Waliopokea hizo vocha walishukuru au walipiga kimya?maana sijaona feedback.Hahahahaha!!! Kwakweli
PheeeeeeewwwwwwHuu uzi ufungwe
Hahah! Zingatia kwanza kula bro hayo madude yanachanganya sana akiliHuku siwezi kulalamika bro...
Niko sehemu fulani hapa napata msosi kuna misambwanda ya kufa mtu dah. This is just too much jamani
Basi tu roho mbayaWhai?
Huku siwezi kulalamika bro...
Niko sehemu fulani hapa napata msosi kuna misambwanda ya kufa mtu dah. This is just too much jamani
😁Mbona hata sijaanza?Fraggy unafanya fujo ujue
Nakuonaaa...Huku siwezi kulalamika bro...
Niko sehemu fulani hapa napata msosi kuna misambwanda ya kufa mtu dah. This is just too much jamani
Sad kwa kweli..You just have to work 24/7 to be richToka zako hapa. Mbona TRA wanatajirika?
View attachment 1125418
Duh! Kazi mnayo!
Huwa naupenda sana ushauri anao utoa daktari "pamoja na hizi dawa uwe unafanya mazoezi ya kutembea tembea" sasa ile unaingia kitaa kwa mazoezi ya asubuhi,mara limdada hilo na kitenge kimoja linaenda kwa mangi kununua mkate...
Sipatagi shida, naahirisha mazoezi naagiza Pepsi Kubwa tena ya moto ili niendelee kufaidi uumbaji..
Mkuu naona maendeleo ni mazuri. Tumshukuru Mungu
Nakazia😏Pheeeeeeewwwwww