Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hatari sana, ni bora kujifunza kutoka kwa wengine.

Ni kutokana shida, dhiki, manynyaso
Mateso,kejeli.....shida za hapa na pale

Kwa bahati mbaya nikapata ushauri
Kwa rafiki yangu ambaye alikuwa amejiunga na dhehebu ya kishetani
Inaitwa CHURCH OF SATAN/LUCIFER
ambayo makao makuu yapo marekani
Jimbo la network, ilianzishwa 30 /04/ 1966. ambayo kwa jina lingine wanaita THE BLACK HOUSE.
kwa sisi wafuasi wa hili dhehebu huwa
Tunaliita THE BLACK FLAME au THE CLOVE HOOF.
hii dhehebu haina tofauti sana na dhehebu ya ILLUMINATI,

Na kuna kitu watu hawajui, watu wengi ulimwenguni wamezoea kusikia madhehebu ya kishetani aina mbili ambayo ni FREEMASON na ILLUMINATI
lakini kumbuka kuna madhehebu ya kishetani yapatao 30 na zaidi.
( kutokana na masharti sitayataja )
Rafiki yangu aliunganishwa na mzungu
Ambaye ni raia wa marekani, na alinishawishi kwa muda mrefu kujiunga na dhehebu hili, nami nilikataa lakini baadae uvumilivu ulinishinda kutokana kwamba alikuwa akinishawishi kupitia kunipa fedha, kunipa million 2 kwake ilikuwa kawaida, kweli pesa shetani
Nikashawishika na kutaka kujiunga alifurahi mno na kupanga safari kuelekea marekani kwa ajili ya kuunganishwa na kuapishwa kuwa muumini wa dhehebu hilo la kishetani
Nilifanikiwa kwa kiasi kikubwa na baada ya hapo nikawa tajiri na masharti ya kafara yalipangwa,

Hayo ndio maisha niliyopitia hadi sasa
Ninao utajiri Mali za kutosha lakini moyo unauma kwa kutoa ndugu zangu kafara, tena ni kafara mbaya sikuwahi kuona duniani.
Na cha ajabu huwezi kujitoa kujitoa kwake ni lazima ufe ni lazima ulionje mauti. Na adhabu inapewa kuzimu.

Sitaki kuongea sana kwa sababu sheria na kanuni za the black house hairuhusu
Kuzungumzia kwa undani suala hili.
Nafikiri umenipa mkuu.........

 
Back
Top Bottom