Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
Tobaaa!Wewe ndiye burudani ya ubongo wangu...
Ahsante sana kwa uwepo wako ankoo
Endelea na mjukuu wako napumzika kidogoView attachment 1099221
Tobaaa!Wewe ndiye burudani ya ubongo wangu...
Ahsante sana kwa uwepo wako ankoo
Endelea na mjukuu wako napumzika kidogoView attachment 1099221
Hahaha ipo comment yake cha kushangaza ameweka jina lako 😀😀(joke)Bradha nimeenda fasta nione unachojutia mbona hujaandika?
Hahaha village Elders eehView attachment 1099119 TBT Bradha nae ndani 😂😂
Hahahaa.. nimeona amecheka kwenye aliyedeclare alikuwa Domo zege akakosa mkeHahaha ipo comment yake cha kushangaza ameweka jina lako 😀😀(joke)
hahahahah, mimi nauperuzi tuu.Kuna vituko na mambo ya majuto.Bradha nimeenda fasta nione unachojutia mbona hujaandika?
Nini hiyo?Imekaa vibaya
Kali P
Hahaha Bradha nae kumbe huwa anafungukaHahahaa.. nimeona amecheka kwenye aliyedeclare alikuwa Domo zege akakosa mke
Ntajie basi fyekero lako nikasomehahahahah, mimi nauperuzi tuu.Kuna vituko na mambo ya majuto.
Nyuzi za design hii huwa naingia na fyekero 'joking'.
Mfungo unaendaje?
Umeanza lini uchokozi?Hahaha ipo comment yake cha kushangaza ameweka jina lako 😀😀(joke)
Mfungo ...tunapambana aisee tumeshaanza kukata kiloshahahahah, mimi nauperuzi tuu.Kuna vituko na mambo ya majuto.
Nyuzi za design hii huwa naingia na fyekero 'joking'.
Mfungo unaendaje?
Hahaha kumbe best ndie mtarajiwa sikuwahi kujua hili 😀😀😀Umeanza lini uchokozi?
hahahahahahahah, kwamba hujui eeh.Hahaha Bradha nae kumbe huwa anafunguka
Naona mmemfundisha uchokozi alikuwa mpole huyu!Umeanza lini uchokozi?
Best gani huyo, jana ulikunywa ule uji wa pilipili manga tena?Hahaha kumbe best ndie mtarajiwa sikuwahi kujua hili 😀😀😀
Hahaha kweli aisee huu uzi umenifanya niwe mchokoziNaona mmemfundisha uchokozi alikuwa mpole huyu!
Hahaa hah
Mbona mimi sio mchokozi lakini?Naona mmemfundisha uchokozi alikuwa mpole huyu!
Uji lazima brother.Best gani huyo, jana ulikunywa ule uji wa pilipili manga tena?
Good.Mfungo ...tunapambana aisee tumeshaanza kukata kilos