Uzi Maalum wa Kunyooshana kwa Punchlines

Kwanza kama huna mwana ukaelekee kokoto,
dogo unamuuliza, "Kuna aina ngapi za uoto?"
kwa vile shule hajasoma anajibu, "sweet potato",
Yaani majibu anayotoa yanakufanya upate moto.
Unajiamini sana kwa mtu ambaye Google ikikusearch inasema 'Did you mean someone else?

Unabishana kama una ushahidi, kumbe una confidence tu.

Uko online kila siku, lakini maendeleo yako bado yapo offline.

Una ego ya CEO, lakini matokeo ni ya intern.

Unapenda kutoa ushauri kuliko kuufuata.

Kila ukifungua mdomo, confidence inapanda lakini IQ inashuka.

Una makelele ya simba, lakini matokeo ya paka.

Wewe ni proof kwamba kelele si sawa na uwezo.
 
Aisee! Mangi mbona unajua kuchana?
hiyo ni hali ya kawaida au huja ukilewa sana?
Halafu nasikia usipolewa jukwaani hupendi onekana,
kwa mfano jana hela ya kulewea ulikuwa huna,
Ndiyo maana humu ndani hata hatujakuona,
hebu nakuomba acha hizo mambo bhana!
ukikosa hela piga mbege au hata banana!
 
Bro, ulijenga story yote ukidhani wanichana , kumbe ni autobiography .

Unajua ratiba yangu kuliko calendar yangu.

Wakati unahesabu pombe ninazokunywa, mimi nahesabu sababu zinazokufanya uamke ukinifikiria.
 
Humu mbona kila mtu anajua kuchana
Au mnarithishana
Inashangaza sana
Kuona watu walio sehemu moja wanavipaji vya kufanana
Hebu ngoja nikupe sababu kijana,
mwaka jana nilitoa kozi ya kuchana,
hivyo wote unaoona wanachana,
basi ndo wale nilowafundisha kuchana,
Tena ukiona mtu hajui kuchana,
tambua hakufundishwa nami mwaka jana 😎.
 
Bro, ulijenga story yote ukidhani wanichana , kumbe ni autobiography yangu.

Unajua ratiba yangu kuliko calendar yangu.

Wakati unahesabu pombe ninazokunywa, mimi nahesabu sababu zinazokufanya uamke ukinifikiria.
Bwashee sikiliza tu nikuambie kinachonisumbua,
Nina tabia ya kimatumbi yaani ya watu nayafikiria,
Kila nikijaribu kuiacha hii tabia nashindwa nairudia,
mambo yangu nimeyasahau ya watu vyema nayatambua,
hivyo naomba unisamehe, itafaa zaidi ukiniombea,
Kila nikiona mtu anafanikiwa tumbo la kuhara linanivamia.
 
Mnajikuta mnaghani, baada ya gongo na magimbi/
Stimu za mjani, zinawapa usongo wa kipimbi/

Nimesha set mitego, chunga usije ukanasa/
Bahati nzuri ni muda wa michezo, wacha nisubiri mechi ya ufaransa/
 
Bwashee sikiliza tu nikuambie kinachonisumbua,
Nina tabia ya kimatumbi yaani ya watu nayafikiria,
Kila nikijaribu kuiacha hii tabia nashindwa nairudia,
mambo yangu nimeyasahau ya watu vyema nayatambua,
hivyo naomba unisamehe, itafaa zaidi ukiniombea,
Kila nikiona mtu anafanikiwa tumbo la kuhara linanivamia.
Respect kwa kukubali. Watu wengi huvaa mask, wewe umevua mwenyewe.

Ila kumbuka, huwezi kushinda race ukiwa busy kuhesabu hatua za mkimbiaji mwingine.
 
Back
Top Bottom