Mjomba Malume
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 903
- 1,317
- Thread starter
- #181
Aisee kumbe mambo yako hivyo.Magabacholi ni watu wa nje ambao nchini walizamia,
Ambao mchungaji mtikila aitaka nchini kuwatimua,
Sera yake ilikuwa nzuri lakini wala hata haikutimia,
kwa sababu ajali ya gari aliipata na peponi akatangulia.
Mimi sikujua hivyo.
Dunia ina mengi matatizo.
Na vikwanzo.
Watu wana mawazo.
Wapi wapate liwazo?