Uzi Maalum wa Kunyooshana kwa Punchlines

Uzi Maalum wa Kunyooshana kwa Punchlines

Hahaha, mambo yamepamba moto kweli huku! Afisa_Nkai umewasha moto! Mjomba Malume bado upo kwenye fomu yako ya ufundi wa maneno.

Na hearly, umekuja na mashambulizi makali sana, mpaka umetukumbusha enzi za 'sekondari' na 'bangi' 😂. Hiyo ilikuwa punchline kali ya kufunga!

Nguvu ya maneno inaendelea kutiririka! Kazi nzuri sana wote! Bado kuna 'dozi' zimebaki au tunamalizia hapa? Endeleeni kutupa burudani!
 
Mkuu pia tunatamani vitu vyako.
Embu tupe tuone mambo yako.
Utuonyeshe ukali wako.
Usepe na kijiji chako.
 
Yeah, nawanyoosha hawa viluwiluwi,
wananitania kwa sababu hawanijuwi,
nawamaliza b'cause mimi ni lisilowajua zimwi,
kwanza kabisa ninatisha kama gonjwa la UKIMWI,

Nikianza kuwatafuna sauti itakayosikika ni uwiiii!
Mkuu umetisha.

Mdogo wangu adriz de mbusii hebu njoo secretarybird anaruka na vina huku. 😂😂
 
Kishimbe wa kishimbe.
Embu acha pombe.
Nakuona unasaka kombe.
Ila amini hapa utakosa hata tonge.
👑
Taji kichwani tayari Huihui mwanafunzi!
Umetamani za juu umenipata mkwezi!
Kichwamaji kamawewe dawa hakika makonzi!
Ungelikuwa Lamomy ningekufanya mpenzi!
Mbungi langu huliwezi uache mauchokozi!
1783185749249.png
 
👑
Taji kichwani tayari Huihui mwanafunzi!
Umetamani za juu umenipata mkwezi!
Kichwamaji kamawewe dawa hakika makonzi!
Ungelikuwa Lamomy ningekufanya mpenzi!
Mbungi langu huliwezi uache mauchokozi!
View attachment 3622577
Kwangu kila mechi ni ushindi.
Tena ushindi mwingi.
Nishavunja vigingi.
Sembuse wewe pimbi.
Pande zangu wananiita Kingi.
Hizo pande hutimbi.
 
Mo Dewji nini anajua.
Kuhesabu hela ndio anachojua.
Aanzishe mo vitumbua.
Watoto waanze kutusumbua.
Yule baniani hakuachii hata shilingi mia,
Utasikia "veve pesa sangu hapana chezea",
ndo maana Mtikila alitaka kuwatimua,
sema Sina noma Mex Cortez kuchana anajua,
Manimendra ninamuombea sana dua.
 
Mkuu umetisha.

Mdogo wangu adriz de mbusii hebu njoo secretarybird anaruka na vina huku. 😂😂
Mashairi yake 🔥 🔥 🔥

Mwamba kila sekta yupo , nimepitia mashairi yake vina kuntu na yanachekesha sana 😂 😆 😂

Kongole secretarybird ngoja na Mimi nije nitoe punchlines zangu nifanye comeback , sasa Mimi napiga vina vya kati na mwisho
 
Yule baniani hakuachii hata shilingi mia,
Utasikia "veve pesa sangu hapana chezea",
ndo maana Mtikila alitaka kuwatimua,
sema Sina noma Mex Cortez kuchana anajua,
Manimendra ninamuombea sana dua.
Unataja watu wageni kwangu.
Unaweza kunidadavulia rafiki yangu.
Ili nipate kuwajua.
Kinaga ubaga nipate kuwatambua.
Au pengine ninawajua.
Ila labda majina uliyotumia.
Ndiyo yananisumbua.
 
Hata yule Von Bismarck Otto,
Alifungua ile Berlin conference kwa nyeto,
Basi ajenda za mkutano zikawa moto moto,
Pia kiongozi yule wa Yugoslavia Jisip Tito,
naye alikuwa ananyetuka kwa mlenda moto,
Ndiyo maana hakupendelea mambo ya utoto,
Joseph Stalin hakumburuza kama mtoto.
Duh haya maisha yana changamoto
Yaani watu mnawaza nyeto
Mtakufa kama Augustino Neto
Hamtopona kwa mseto
 
Hahaha, mambo yamepamba moto kweli huku! Afisa_Nkai umewasha moto! Mjomba Malume bado upo kwenye fomu yako ya ufundi wa maneno.

Na hearly, umekuja na mashambulizi makali sana, mpaka umetukumbusha enzi za 'sekondari' na 'bangi' 😂. Hiyo ilikuwa punchline kali ya kufunga!

Nguvu ya maneno inaendelea kutiririka! Kazi nzuri sana wote! Bado kuna 'dozi' zimebaki au tunamalizia hapa? Endeleeni kutupa burudani!
Mkuu wewe husumbui vidole kuandika koment ni mwendo wa AI tu. RIP critical Thinking 🚮
 
Back
Top Bottom