Uzi Maalum wa Kunyooshana kwa Punchlines

Uzi Maalum wa Kunyooshana kwa Punchlines

Unataja watu wageni kwangu.
Unaweza kunidadavulia rafiki yangu.
Ili nipate kuwajua.
Kinaga ubaga nipate kuwatambua.
Au pengine ninawajua.
Ila labda majina uliyotumia.
Ndiyo yananisumbua.
Ok, ninaposema baniani ni wahindi waliozagaa,
Mex Cortez ndiye Manimendra kurap anajua,
yeye anaasili ya Sri Lanka Tanzania amezamia,
Yupo ndani ya tamaduni music hip-hop ya TZ anainyanyua,

je unaukumbuka sera ya gabacholi ya Mtikila ama laa?
 
wanaoleta battle kwanza wakae kushoto,
Huu moto wa madon hawawezi watoto,
Vina vimepita mwanza sio tanga Lushoto,
Wakijaribu mkong’oto kooh kooh
 
Duh haya maisha yana changamoto
Yaani watu mnawaza nyeto
Mtakufa kama Augustino Neto
Hamtopona kwa mseto
Katika tumbo Moja walitoka kurwa na doto,
Ukisikia 'jotoridi' tambua kuwa ni baridi na joto,
Ukimwaga manii ukilala huo ni unyevu wa ndoto,
kuikata hali hiyo nyetukua kwa mlenda wa moto,
na ukishaota ndoto nyevu tambua wewe si mtoto,
kumaanisha sasa umebalehe yakupasa kuacha utoto,
Yaani waweza pachika mimba binti akipata joto.
 
Ngoja mistari ijae tena
Halafu nashusha shehena
 
wanaoleta battle kwanza wakae kushoto,
Huu moto wa madon hawawezi watoto,
Vina vimepita mwanza sio tanga Lushoto,
Wakijaribu mkong’oto kooh kooh
Kwanza kama huna mwana ukaelekee kokoto,
dogo unamuuliza, "Kuna aina ngapi za uoto?"
kwa vile shule hajasoma anajibu, "sweet potato",
Yaani majibu anayotoa yanakufanya upate moto.
 
Kwangu kila mechi ni ushindi.
Tena ushindi mwingi.
Nishavunja vigingi.
Sembuse wewe pimbi.
Pande zangu wananiita Kingi.
Hizo pande hutimbi.
1783192398600.png

secretarybird sogea na kalamu tayarisha!
Kipondo Mjomba Malume anaenda kuharisha!
Mashabiki hukuhitaji wewe wafahamisha!
Nawe kamisaa cocochanel pakukaa tayarisha!
Chonde na mkae mbali damu ngumu kusafisha!
Na wafagizi andaeni meno yote 'tang'oresha!
Hukimbii Mjomba Malume unangoja kuharisha?
:WEEWOO: :WEEWOO: 😅
 
Kwanza kama huna mwana ukaelekee kokoto,
dogo unamuuliza, "Kuna aina ngapi za uoto?"
kwa vile shule hajasoma anajibu, "sweet potato",
Yaani majibu anayotoa yanakufanya upate moto.
Mitaa imewaka inataka punch line,
bila pen bila paper naacha sign ,
usinipe demu nipe beat kwangu fine ,
nitembee Kama pac au Wayne
 
Kuoa kaoa bata na bado kuku wakamkaza,
Wewe kula milupo kwa kujigalagaza,
Hata kitumbua cha buku piga chenye mchanga,
Na utamu ukizidi kata na shanga, 😹😹
Kichogo unaona wivu mixer na maumivu
kitandani huna lolote livivu 🐸
Nimepata msikivu baki na vichogo wenzako mi nakula mbivu 😁
 
View attachment 3622635
secretarybird sogea na kalamu tayarisha!
Kipondo Mjomba Malume anaenda kuharisha!
Mashabiki hukuhitaji wewe wafahamisha!
Nawe kamisaa cocochanel pakukaa tayarisha!
Chonde na mkae mbali damu ngumu kusafisha!
Na wafagizi andaeni meno yote 'tang'oresha!
Hukimbii Mjomba Malume unangoja kuharisha?
:WEEWOO: :WEEWOO: 😅
Mimi huwa naangalia tu!
neno langu huwa ni sheria tu!
Sheri ni kama msumeni tu!
Kila upande yenyewe hukata tu!
Ok, mi siyo member wa kawaida tu!
bali ni wenu Ayatollah mwema tu!

Ni hayo tu!
 
Niko single ready to mingle,
Nikipata right tutawasha the light,
Na papa nitampea juu ya flight, 😹😹
kichogo hayo ndio mambo sasa
upate mubaba akupige msasa
umwage kama bomba la dawasa 💦😋
juu ya flight kwani nyie ni mwewe😅
nikiwaona nawapiga mawe
vichogo nyie ombeni hata geto mpewe
😅 sio kufanya juu ya flight utampa mubaba kiwewe
fala kichogo wewe
 
Mimi huwa naangalia tu!
neno langu huwa ni sheria tu!
Sheri ni kama msumeni tu!
Kila upande yenyewe hukata tu!
Ok, mi siyo member wa kawaida tu!
bali ni wenu Ayatollah mwema tu!

Ni hayo tu!
🔥 🔥 🔥 🔥 👊
🔥🔥🔥🔥👊
🔥🔥🔥🔥👊
👊👊👊👊👊
NAMNGOJEA 👊
 
Back
Top Bottom