Uzi Maalum wa Kunyooshana kwa Punchlines

Uzi Maalum wa Kunyooshana kwa Punchlines

Mic check... si rap, ni facts.
Boots on, defenders collapse.
One touch, one pass, one class.
Messi forever... the GOAT, no cap.

#Hallelujah!!!
 
Kitambo jief kulikuwa na akina Malila,
Kila post ni nondo hakuna umbugila,
Mambo yamegeuka kama mzee kigaila,
Majukwaa ni mikorogo kama ya Dula makabila,
Now madogo muda wote ni ngono.
Ukiwaasa wanakwambia tuliza mshono.
Hakina Gen Z hawaelewi somo.
Uzinifu kwa nguvu wanaupigia promo.
 
Je! Mtaniweza kweli??...//
Na Punch zenu ndogo kama pakiti ya kubeli...//

Sema su nikupasue 😎
 
Rappers wapo weak, kiufupi Hawajui kuchana...//
Nawaficha ka nyeti, kwenye chupi la mmama...//

Tazama!! Ulimi ni nyenzo, tungo ni product...//
Nimezaliwa kwa malengo, kuwafunza hii industry..//

Nawapa Thahadhari, Kabla ya hatari...//
Usiombe bato na Mimi,hii ni zaidi ya hatari...//
 
Ah!
Nakuona na lafudhi yako kama Bambo/
Unakujakuja tu kuvamia mambo/
Salimia wakubwa kwanza, haujambo?/
Hii ni ishu serious sio maigizo ya Isidingo/
Wewe ndio una maigizo.
Unajitafutia matatizo.
Kwa ku battle na watu wazito.
Soon utapata majuto.
 
Rappers wapo weak, kiufupi Hawajui kuchana...//
Nawaficha ka nyeti, kwenye chupi la mmama...//

Tazama!! Ulimi ni nyenzo, tungo ni product...//
Nimezaliwa kwa malengo, kuwafunza hii industry..//

Nawapa Thahadhari, Kabla ya hatari...//
Usiombe bato na Mimi,hii ni zaidi ya hatari...//
Jina lenyewe tu ni Nalia.
Ok endelea kulia.
Ila hapa hata uje na familia.
Lazima tu utakimbia.
Watu kwenye punchlines tumebobea.
Haina haja ya kuongea.
Kwa vile wewe mwenyewe umesogea.
Utajionea.
 
Unazungumzia ghetto, wakati kwako panya wamefurika,
Unaleta mambo ya mke, kisa maisha yamekushika na kukotaka.
Eti unadai mi sisali, wakati fuvu lako limepasuka,
Mistari haina hata kazi, imepwaya kama ringi iliyochoka.
Unajifanya upo juali, kumbe njaa inakutafuna na kukuharisha,
Hapa ground mimi ndio bosi, hii michano yako naizimisha
Ayatollah wako naishi kwenye kasri wewe umechoka,
Hayo yote yamekutokea kwa sababu shule ulitoroka,
Sasa unakula chakula kinachopaswa kuliwa na paka,
Nasikia mtaani ulitamba baada ya kuanzisha kiduka,
Kiduka ambacho ulikifinga baada ya TRA kukunyuka,
Sasa unaokota vyakula majalalani sababu umewehuka.
 
Wewe ndio una maigizo.
Unajitafutia matatizo.
Kwa ku battle na watu wazito.
Soon utapata majuto.
Watu wazito wenye akili nyepesi kama pamba/
Hili chaka uliloingia si utapata kasumba/
Ushauri tu, punguza kujigamba/
Ukifuga kuku utauza maana unaongea pumba/
So utawalisha watanenepa utauza utapata mavumba/
Ila huku kwenye Hip-hop utaambulia majanga/ 🤭
 
Troure una

"Mfunge kamba ni nimfunge shanga/mwehu namkata gogo vinabo waanue matanga!."
"Pigo zangu Nimoka mchomoko nachomoka/ ndani ya jf naacha visanga!".
"Namoka ,nafeli figo, DJ choka/ me akili mingi ,mduanzi nitofali laini lisilo na mchanga".
Mkuu kweli wewe ni mwehu ndama,
katika karne hii yaoneka wewe ni noma,
Punchlines ziko poa sana huwa nazisoma,
Kumkichwa uko bomba wala si maamuma,
Ayatollah wa JF nikiondoka wewe kwenye cheo utasimama 😎.
 
Eyooo ni weekend
Oya wanangu nataka tusome nyota, soma
wanaobebwa wana nyota ya begi,
wanaotoka moshi wote wana nyota ya fegi
una nyota ya bata ndio maana sio smart
Nina nyota ya jogoo ndo maana nanyoa kiduku
 
Uuwiiiii!! 😃😃
Yeah, nawanyoosha hawa viluwiluwi,
wananitania kwa sababu hawanijuwi,
nawamaliza b'cause mimi ni lisilowajua zimwi,
kwanza kabisa ninatisha kama gonjwa la UKIMWI,

Nikianza kuwatafuna sauti itakayosikika ni uwiiii!
 
Watu wazito wenye akili nyepesi kama pamba/
Hili chaka uliloingia si utapata kasumba/
Ushauri tu, punguza kujigamba/
Ukifuga kuku utauza maana unaongea pumba/
So utawalisha watanenepa utauza utapata mavumba/
Ila huku kwenye Hip-hop utaambulia majanga/ 🤭
Wewe ndio ufuge kuku.
Maana hauna kitu huku.
Utaambulia tu patupu.
Ukose hata hela ya supu.
Utapigika na hutoponea chupuchupu.
Ugali ule kwa mboga chukuchuku.
Mwisho nikupige marufuku.
Hakuna ku-rap nenda kwenye viduku.
 
"Shamba unalima pamba , au ndo ushamba wakutembea unajamba?!"
"bwana mdogo ebu vaa kilemba, nikupe koni rambaramba!".
"Mi ni Simba mzee, huniwezi,we jike dume halima mdee !"
"njoo nikupulize kama zezee, uniite boss msafi mi ni chibu dee!"
"Nikuregeze puru mwendo wa choko mzee, nikuvishe shungi,usijitusu we ni anko tee!"
Dahh !! 😄😄
 
Back
Top Bottom